1
Maombolezo 3:22-23
Swahili Revised Union Version
Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu.
Linganisha
Chunguza Maombolezo 3:22-23
2
Maombolezo 3:24
BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye.
Chunguza Maombolezo 3:24
3
Maombolezo 3:25
BWANA ni mwema kwa hao wamngojeao, Kwa hiyo nafsi imtafutayo.
Chunguza Maombolezo 3:25
4
Maombolezo 3:40
Na tuchunguze njia zetu na kuzijaribu, Na kumrudia BWANA tena.
Chunguza Maombolezo 3:40
5
Maombolezo 3:57
Ulinikaribia siku ile nilipokulilia; Ukasema, Usiogope.
Chunguza Maombolezo 3:57
YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video