1
Mika 6:8
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Amekuonesha yaliyo mema, ee mwanadamu. BWANA anataka nini kwako? Ila kutenda kwa haki na kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako.
Linganisha
Chunguza Mika 6:8
2
Mika 6:4
Nimewatoa kutoka Misri na kuwakomboa kutoka nchi ya utumwa. Nilimtuma Musa awaongoze, pia Haruni na Miriamu.
Chunguza Mika 6:4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video