1
Walawi 10:1
Neno
NEN
Nadabu na Abihu, wana wa Haruni, wakachukua vyetezo vyao, wakaweka moto ndani yake na kuongeza uvumba; kisha wakamtolea BWANA moto usio halali, kinyume na agizo la Mungu.
Linganisha
Chunguza Walawi 10:1
2
Walawi 10:3
Kisha Musa akamwambia Haruni, “Hili ndilo alilonena BWANA, aliposema: “ ‘Miongoni mwa wale watakaonikaribia nitajionesha kuwa mtakatifu; machoni pa watu wote nitaheshimiwa.’ ” Haruni akanyamaza.
Chunguza Walawi 10:3
3
Walawi 10:2
Hivyo moto ukaja kutoka kwa uwepo wa BWANA na kuwateketeza, nao wakafa mbele za BWANA.
Chunguza Walawi 10:2