1
Yeremia 18:6
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
“Ee nyumba ya Israeli, je, siwezi kuwafanyia kama huyu mfinyanzi afanyavyo?” asema BWANA. “Kama vile udongo ulivyo katika mikono ya mfinyanzi, ndivyo mlivyo katika mkono wangu, ee nyumba ya Israeli.
Linganisha
Chunguza Yeremia 18:6
2
Yeremia 18:7-8
Wakati wowote nitatangaza kuwa taifa au ufalme utangʼolewa, utaangushwa na kuangamizwa, Lakini ikiwa taifa nililolionya litatubu na kuacha uovu wake nitaghairi, wala sitaleta maafa niliyokuwa nimekusudia kwa taifa hilo.
Chunguza Yeremia 18:7-8
3
Yeremia 18:9-10
Wakati mwingine nitakapotangaza kuwa taifa au ufalme utasimikwa na kujengwa, ikiwa litafanya uovu mbele zangu na halitaitii sauti yangu, nitaghairi kutenda jema nililokuwa nimekusudia.
Chunguza Yeremia 18:9-10
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video