1
Waamuzi 4:4
Neno
NEN
Debora, nabii mwanamke, mkewe Lapidothi, ndiye alikuwa anaamua Israeli wakati ule.
Linganisha
Chunguza Waamuzi 4:4
2
Waamuzi 4:9
Debora akamwambia, “Hakika nitaenda pamoja nawe, lakini njia unayoiendea haitakupa heshima wewe, kwa kuwa BWANA atamtia Sisera mikononi mwa mwanamke.” Hivyo Debora akaenda pamoja na Baraka hadi Kedeshi
Chunguza Waamuzi 4:9