1
Isaya 62:4
Neno
NEN
Hawatakuita tena Aliyeachwa, wala nchi yako kuiita Ukiwa. Bali utaitwa Hefsiba, nayo nchi yako itaitwa Beula, kwa maana BWANA atakufurahia, nayo nchi yako itaolewa.
Linganisha
Chunguza Isaya 62:4
2
Isaya 62:6-7
Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, ee Yerusalemu, hawatanyamaza mchana wala usiku. Ninyi wenye kumwita BWANA, msitulie, msimwache apumzike hadi atakapoufanya imara Yerusalemu na kuufanya uwe sifa ya dunia.
Chunguza Isaya 62:6-7
3
Isaya 62:3
Utakuwa taji la fahari mkononi mwa BWANA, taji la kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Chunguza Isaya 62:3
4
Isaya 62:5
Kama vile kijana aoavyo mwanamwali, ndivyo Mwashi wako atakavyokuoa; kama bwana arusi amfurahiavyo bibi arusi wake, ndivyo Mungu wako atakavyokufurahia wewe.
Chunguza Isaya 62:5