1
Isaya 28:16
Neno
NEN
Kwa hiyo, hili ndilo asemalo BWANA Mwenyezi: “Tazama, ninaweka jiwe katika Sayuni, jiwe lililojaribiwa, jiwe la pembeni la thamani kwa ajili ya msingi thabiti. Yeye atumainiye kamwe hatatiwa hofu.
Linganisha
Chunguza Isaya 28:16