1
Hosea 10:12
Neno
NEN
Jipandieni wenyewe haki, vuneni matunda ya upendo usio na kikomo, vunjeni ardhi yenu isiyolimwa; kwa kuwa ni wakati wa kumtafuta BWANA, hadi atakapokuja na kuwanyeshea juu yenu haki.
Linganisha
Chunguza Hosea 10:12
2
Hosea 10:13
Lakini mmepanda uovu, mkavuna ubaya, mmekula tunda la udanganyifu. Kwa sababu mmetegemea nguvu zenu wenyewe na wingi wa mashujaa wenu
Chunguza Hosea 10:13