1
Kutoka 22:22-23
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
“Usimdhulumu mjane wala yatima. Ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao.
Linganisha
Chunguza Kutoka 22:22-23
2
Kutoka 22:21
“Usimtendee mgeni vibaya au kumdhulumu, kwa kuwa nanyi mlikuwa wageni huko Misri.
Chunguza Kutoka 22:21
3
Kutoka 22:18
“Usiruhusu mwanamke mchawi aishi.
Chunguza Kutoka 22:18
4
Kutoka 22:25
“Ukimkopesha mmoja wa watu wangu fedha ambaye ni mhitaji, usiwe kama mtu mkopesha fedha; usimtoze riba.
Chunguza Kutoka 22:25
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video