1
Kumbukumbu 34:10
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Tangu wakati huo, katika Israeli hajainuka nabii mwingine kama Musa, ambaye BWANA alimjua uso kwa uso
Linganisha
Chunguza Kumbukumbu 34:10
2
Kumbukumbu 34:9
Basi Yoshua mwana wa Nuni alijazwa roho ya hekima kwa sababu Musa alikuwa ameweka mikono yake juu yake. Kwa hiyo Waisraeli wakamsikiliza na wakafanya yale ambayo BWANA alikuwa amemwagiza Musa.
Chunguza Kumbukumbu 34:9
3
Kumbukumbu 34:7
Musa alikuwa na umri wa miaka mia moja na ishirini alipofariki; hata hivyo nguvu ya macho yake haikufifia wala mwili wake haukudhoofika.
Chunguza Kumbukumbu 34:7
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video