← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 21:5

MUNGU + MALENGO: Jinsi Ya Kuweka Malengo Kama Mkristo
Siku 5
Ni vyema kuweka malengo kama Mkristo. Unajuaje kama lengo lako ni kutoka kwa Mungu au kwako mwenyewe?. Na malengo ya kikristo yanaonekanaje? Katika siku 5 za mpango huu wa kusoma, utajifunza katika neno na kupata ufasaha na muelekeo juu ya kupanga mipango inayosukumwa na neema!