Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yak 3

Yakobo
Siku 3
Mpango rahisi kama huu utakupeleka ndani ya kitabu cha Yakobo na itakua vizuri kwa funzo ya upekee ama ya kundi.

BibleProject | Agano Jipya, Hekima Mpya
7 Siku
Katika mpango huu wa siku sabini, utakutana na maudhui ya agano jipya na hekima mpya kwa ajili ya maisha ya waaminio katika Agano hili. Waebrania inamlinganisha na kumtofautisha Yesu na wahusika wakuu kutoka Agano la Kale. Ikionyesha jinsi Yesu alivyo mkuu na kuwa yeye ndiye udhihirisho mkuu wa upendo na rehema za Mungu. Kitabu cha Yakobo ni cha kipekee katika Agano Jipya, kimejaa misemo ya hekima, kama kitabu cha Mithali.

Tusome Biblia Pamoja (Septemba)
Siku 30
Sehemu ya 9 kati ya 12 kwenye mpangilio unaoongoza jamii kusoma Biblia nzima pamoja katika siku 365 Wakaribishe wengine kujumuika nawe kila mara unapoanza sehumu mpya kila mwezi. Mfululizo huu unaendana vyema na Biblia ya kusikiliza - sikiza kwa chini ya dakika 20 kwa siku. Kila sehemu inajumuisha sura kutoka agano la kale na agano jipya, pamoja na mgawanyiko wa Zaburi Sehemu ya 9 inajuisha vitabu vya Nehemia, Esta, Timotheo wa kwanza na wa pili, Yoeli, Amosi, Obadia, Nahumu, Habakuki, Sefania, Tito, Philomeno, Yakobo, Hagai Zekarai na Malaki