← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 34

Tusome Biblia Pamoja (Februari)
Siku 28
Sehemu ya 2 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu unaongoza jamii kupitia Biblia nzima pamoja kwa siku 365. Waalike wengine wajiunge kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya vyema na Biblia sikizi—sikiliza chini ya dakika 20 kila siku. Kila sehemu inajumuisha sura kutoka kwa Agano Jipya na Agano la Kale, na Zaburi ikiwa imetawanyika kote. Sehemu ya Pili inajumuisha vitabu vya Mwanzo, Kutoka, Walawi na Wagalatia.