← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 15:20

Ushindi juu ya Kifo
Siku 7
Tunaambiwa kila mara, "Ni sehemu nyingine ya maisha tu," lakini misemo inayorudiwarudiwa haiondoi uchungu wa kupoteza mpendwa. Jifunze kumkimbilia Mungu unapokumbwa na mojawapo wa changamoto kuu zaidi maishani.