1
Zaburi 95:6-7
Neno
NEN
Njooni, tusujudu, tumwabudu, tupige magoti mbele za BWANA Muumba wetu, kwa maana yeye ndiye Mungu wetu, na sisi ni watu wa malisho yake, kondoo chini ya utunzaji wake.
Compară
Explorează Zaburi 95:6-7
2
Zaburi 95:1-2
Njooni, tumwimbie BWANA kwa furaha; tumfanyie kelele za shangwe Mwamba wa wokovu wetu. Tuje mbele zake kwa shukrani, tumtukuze kwa vinanda na nyimbo.
Explorează Zaburi 95:1-2
3
Zaburi 95:3
Kwa kuwa BWANA ni Mungu mkuu, mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Explorează Zaburi 95:3
4
Zaburi 95:4
Mkononi mwake mna vilindi vya dunia, na vilele vya milima ni mali yake.
Explorează Zaburi 95:4