1
Zaburi 96:4
Neno
NEN
Kwa kuwa BWANA ni mkuu mwenye kustahili kusifiwa kuliko wote; yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote.
Compară
Explorează Zaburi 96:4
2
Zaburi 96:2
Mwimbieni BWANA, lisifuni jina lake; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku.
Explorează Zaburi 96:2
3
Zaburi 96:1
Mwimbieni BWANA wimbo mpya; mwimbieni BWANA dunia yote.
Explorează Zaburi 96:1
4
Zaburi 96:3
Tangazeni utukufu wake katika mataifa, matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote.
Explorează Zaburi 96:3
5
Zaburi 96:9
Mwabuduni BWANA katika uzuri wa utakatifu wake; dunia yote na itetemeke mbele zake.
Explorează Zaburi 96:9