1
Zaburi 48:14
Neno
NEN
Kwa kuwa huyu Mungu ni Mungu wetu milele na milele; atakuwa kiongozi wetu hata mwisho.
Compară
Explorează Zaburi 48:14
2
Zaburi 48:1
BWANA ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, katika mji wa Mungu wetu, mlima wake mtakatifu.
Explorează Zaburi 48:1
3
Zaburi 48:10
Ee Mungu, kama jina lako lilivyo, sifa zako zinafika hadi miisho ya dunia, mkono wako wa kuume umejazwa na haki.
Explorează Zaburi 48:10