1
Zaburi 47:1
Neno
NEN
Pigeni makofi, enyi mataifa yote, mpigieni Mungu kelele za shangwe!
Compară
Explorează Zaburi 47:1
2
Zaburi 47:2
Jinsi gani alivyo wa kutisha, BWANA Aliye Juu Sana, Mfalme mkuu juu ya dunia yote!
Explorează Zaburi 47:2
3
Zaburi 47:7
Kwa kuwa Mungu ni mfalme wa dunia yote, mwimbieni zaburi za sifa.
Explorează Zaburi 47:7