1
Luka 23:34
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Yesu akasema, “Baba, wasamehe, kwa maana hawajui walitendalo!” Wakagawana nguo zake kwa kupiga kura.
比較
Luka 23:34で検索
2
Luka 23:43
Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, leo utakuwa pamoja nami Paradiso.”
Luka 23:43で検索
3
Luka 23:42
Kisha akasema, “Yesu, unikumbuke utakapokuja katika ufalme wako.”
Luka 23:42で検索
4
Luka 23:46
Yesu akapaza sauti yake akasema, “Baba, mikononi mwako naikabidhi roho yangu.” Baada ya kusema haya, akakata roho.
Luka 23:46で検索
5
Luka 23:33
Walipofika mahali paitwapo Fuvu la Kichwa, hapo ndipo walimsulubisha Yesu pamoja na hao wahalifu, mmoja upande wake wa kuume, na mwingine upande wake wa kushoto.
Luka 23:33で検索
6
Luka 23:44-45
Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa, kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili.
Luka 23:44-45で検索
7
Luka 23:47
Yule jemadari alipoona yaliyotukia, akamsifu Mungu, akasema, “Hakika, mtu huyu alikuwa mwenye haki.”
Luka 23:47で検索
ホーム
聖書
読書プラン
ビデオ