1
Warumi 13:14
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
TKU
Bali, muwe kama Kristo Yesu katika kila jambo mnalolitenda, ili watu watakapowaangalia, waweze kumwona yeye. Msifikirie namna ya kuridhisha matakwa ya udhaifu wa mwanadamu na tamaa zake.
Compara
Explorar Warumi 13:14
2
Warumi 13:8
Msidaiwe chochote na mtu, isipokuwa mdaiwe upendo baina yenu. Mtu anayewapenda wengine anakuwa amefanya yote yanayoamriwa na sheria.
Explorar Warumi 13:8
3
Warumi 13:1
Watiini watawala wa serikali. Hakuna anayeweza kutawala bila mamlaka ya Mungu. Mamlaka ya kutawala hutoka kwa Mungu.
Explorar Warumi 13:1
4
Warumi 13:12
Usiku karibu umekwisha. Na mchana karibu unaingia. Hivyo tunapaswa kuacha kufanya chochote kinachohusiana na giza. Tunapaswa kujiandaa kuupiga uovu kwa silaha za nuru.
Explorar Warumi 13:12
5
Warumi 13:10
Upendo hauwaumizi wengine. Hivyo kupenda ni sawa na kuitii sheria yote.
Explorar Warumi 13:10
6
Warumi 13:7
Wapeni watu wote vile wanavyowadai. Kama wanawadai aina yoyote ya kodi, basi lipeni. Onesheni heshima kwa wale mnaopaswa kuwaheshimu. Na onesheni uadilifu kwa wale mnaopaswa kuwafanyia hivyo.
Explorar Warumi 13:7