Mwanzo 16:11
Mwanzo 16:11 NEN
Pia malaika wa Bwana akamwambia: “Wewe sasa una mimba nawe utamzaa mwana. Utamwita jina lake Ishmaeli, kwa sababu Bwana amesikia kuhusu huzuni yako.