Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Muhtasari: Marko

Kutoka BibleProject

MAANDIKO YANAYOHUSIANA

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Marko, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Marko anaonyesha kwamba Yesu ndiye masihi wa Israeli anayezindua ufalme wa Mungu kupitia mateso yake, kifo chake na kufufuka kwake. https://bibleproject.com/Swahili/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha