Rukia hadi maudhui

Ruthu 4:2 - Linganisha Matoleo Yote

Ruthu 4:2 BHN (Biblia Habari Njema)

Ndipo Boazi akawaita wazee kumi wa mji, akawaomba wao pia waketi hapo. Wakaketi.

Ruthu 4 BHN

Ruthu 4:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kisha akatwaa watu kumi miongoni mwa wazee wa mji, akawaambia, Ninyi nanyi, ketini hapa. Wakaketi.

Ruthu 4 SUV

Ruthu 4:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kisha akatwaa watu kumi miongoni mwa wazee wa mji, akawaambia, Ninyi nanyi, ketini hapa. Wakaketi.

Ruthu 4 SRUV

Ruthu 4:2 NEN (Neno)

Boazi akatwaa watu kumi miongoni mwa wazee wa mji, akawaambia, “Ketini hapa.” Nao wakaketi.

Ruthu 4 NEN