Ruthu 3:2 - Linganisha Matoleo Yote
Ruthu 3:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Sasa huyu Boazi, ambaye ulifanya kazi na wasichana wake, je, si ni wa ukoo wetu? Haya basi sikiliza, jioni hii atakuwa anapura shayiri.
Shirikisha
Ruthu 3 BHNRuthu 3:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi na huyu Boazi, je! Siye wa mbari yetu, ambaye ulikuwapo pamoja na wasichana wake? Tazama, usiku wa leo atakuwa akipepeta shayiri pale ugani.
Shirikisha
Ruthu 3 SUVRuthu 3:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi na huyu Boazi, je! Siye wa mbari yetu, ambaye ulikuwapo pamoja na wasichana wake? Tazama, usiku wa leo atakuwa akipepeta shayiri pale ugani.
Shirikisha
Ruthu 3 SRUVRuthu 3:2 NEN (Neno)
Je, Boazi, ambaye umekuwa pamoja na wajakazi wake, si ni jamaa yetu wa karibu? Usiku wa leo atakuwa akipepeta shayiri kwenye sakafu ya kupuria.
Shirikisha
Ruthu 3 NEN