Rukia hadi maudhui

Ruthu 2:8 - Linganisha Matoleo Yote

Ruthu 2:8 BHN (Biblia Habari Njema)

Ndipo Boazi akamwambia Ruthu, “Hebu sikiliza binti yangu. Usiende kuokota masuke mahali pengine ila katika shamba hili tu. Fuatana na wanawake hawa

Ruthu 2 BHN

Ruthu 2:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi Boazi akamwambia Ruthu, Mwanangu, sikiliza; wewe usiende kuokota masazo katika shamba lingine, wala usiondoke hapa, lakini ukae papa hapa karibu na wasichana wangu.

Ruthu 2 SUV

Ruthu 2:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi Boazi akamwambia Ruthu, Mwanangu, sikiliza; wewe usiende kuokota masazo katika shamba lingine, wala usiondoke hapa, lakini ukae papa hapa karibu na wasichana wangu.

Ruthu 2 SRUV

Ruthu 2:8 NEN (Neno)

Kisha Boazi akamwambia Ruthu, “Binti yangu, nisikilize. Usiende kuokota mabaki ya mavuno katika shamba lingine, na usiondoke hapa. Kaa hapa na hawa wajakazi wangu.

Ruthu 2 NEN