Rukia hadi maudhui

Ruthu 2:4 - Linganisha Matoleo Yote

Ruthu 2:4 BHN (Biblia Habari Njema)

Baada ya muda, Boazi alifika kutoka Bethlehemu akawasalimu wavunaji, akasema, “Mwenyezi-Mungu awe nanyi.” Nao wakamjibu, “Mwenyezi-Mungu na akubariki.”

Ruthu 2 BHN

Ruthu 2:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na tazama, Boazi akaja kutoka Bethlehemu kawaamkia wavunaji, akasema, BWANA akae nanyi. Nao wakamwitikia, BWANA na akubariki.

Ruthu 2 SUV

Ruthu 2:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na tazama, Boazi akaja kutoka Bethlehemu na kuwaamkia wavunaji, akasema, BWANA akae nanyi. Nao wakamwitikia, BWANA na akubariki.

Ruthu 2 SRUV

Ruthu 2:4 NEN (Neno)

Papo hapo Boazi akarudi kutoka Bethlehemu, akawasalimu wavunaji, akasema, “BWANA awe nanyi!” Nao wakamjibu, “BWANA akubariki.”

Ruthu 2 NEN