Rukia hadi maudhui

Ruthu 2:22 - Linganisha Matoleo Yote

Ruthu 2:22 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, Naomi akamwambia Ruthu, “Naam binti yangu. Ni vyema kufanya kazi pamoja na wanawake wengine katika shamba la Boazi, kwa maana labda ungesumbuliwa kama ungekwenda katika shamba la mtu mwingine.”

Ruthu 2 BHN

Ruthu 2:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kisha Naomi akamwambia Ruthu mkwewe, Mwanangu, ni vizuri wewe ufuatane na wasichana wake, wala watu wasikukute katika konde linginelo lote.

Ruthu 2 SUV

Ruthu 2:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kisha Naomi akamwambia Ruthu mkwewe, Mwanangu, ni vizuri wewe ufuatane na wasichana wake, ili watu wasikusumbue katika shamba lingine lolote lile.

Ruthu 2 SRUV

Ruthu 2:22 NEN (Neno)

Kisha Naomi akamwambia Ruthu mkwewe, “Binti yangu, itakuwa vyema wewe ufuatane na wajakazi wake, kwa sababu katika shamba la mtu mwingine wanaweza kukudhuru.”

Ruthu 2 NEN