Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 8:4 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 8:4 BHN (Biblia Habari Njema)

Mungu alifanya hivyo kusudi matakwa ya haki ya sheria yatekelezwe kikamilifu ndani yetu sisi ambao tunaishi, si kwa nguvu za kibinadamu, bali kwa nguvu ya Roho.

Shirikisha
Waroma 8 BHN

Waroma 8:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

ili maagizo ya torati yatimizwe ndani yetu sisi, tusioenenda kwa kufuata mambo ya mwili, bali mambo ya roho.

Shirikisha
Waroma 8 SUV

Waroma 8:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)

ili maagizo ya torati yatimizwe ndani yetu sisi, tusioenenda kwa kufuata mambo ya mwili, bali mambo ya roho.

Shirikisha
Waroma 8 SRUV

Waroma 8:4 NEN (Neno)

ili haki ipatikanayo kwa sheria itimizwe ndani yetu sisi, ambao hatuenendi kwa kuufuata mwili bali kwa kufuata Roho.

Shirikisha
Waroma 8 NEN