Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Waroma 8:10 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 8:10 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini kama Kristo yumo ndani yenu, ingawa miili yenu imekufa kwa sababu ya dhambi, kwenu Roho ndiye uhai kwa sababu mmefanywa kuwa waadilifu.

Shirikisha
Waroma 8 BHN

Waroma 8:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na Kristo akiwa ndani yenu, mwili wenu umekufa kwa sababu ya dhambi; bali roho yenu i hai, kwa sababu ya haki.

Shirikisha
Waroma 8 SUV

Waroma 8:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na Kristo akiwa ndani yenu, mwili wenu umekufa kwa sababu ya dhambi; bali roho yenu i hai, kwa sababu ya haki.

Shirikisha
Waroma 8 SRUV

Waroma 8:10 NEN (Neno)

Lakini kama Kristo anakaa ndani yenu, miili yenu imekufa kwa sababu ya dhambi, lakini roho zenu zi hai kwa sababu ya haki.

Shirikisha
Waroma 8 NEN