Waroma 6:20 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 6:20 BHN (Biblia Habari Njema)
Mlipokuwa watumwa wa dhambi mlikuwa huru mbali na uadilifu.
Shirikisha
Waroma 6 BHNWaroma 6:20 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mlipokuwa watumwa wa dhambi, mlikuwa huru mbali na haki.
Shirikisha
Waroma 6 SUVWaroma 6:20 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mlipokuwa watumwa wa dhambi, mlikuwa huru mbali na haki.
Shirikisha
Waroma 6 SRUVWaroma 6:20 NEN (Neno)
Mlipokuwa watumwa wa dhambi, mlikuwa hamtawaliwi na haki.
Shirikisha
Waroma 6 NEN