Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Waroma 3:9 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 3:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Tuseme nini, basi? Je, sisi Wayahudi ni bora kuliko wengine? Hata kidogo! Kwa maana nimekwisha bainisha hapo mwanzoni kwamba Wayahudi na watu wa mataifa mengine wote wako chini ya utawala wa dhambi.

Shirikisha
Waroma 3 BHN

Waroma 3:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ni nini basi? Tu bora kuliko wengine? La! Hata kidogo. Kwa maana tumekwisha kuwashitaki Wayahudi na Wayunani ya kwamba pia wamekuwa chini ya dhambi

Shirikisha
Waroma 3 SUV

Waroma 3:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ni nini basi? Tu bora kuliko wengine? La! Hata kidogo. Kwa maana tumekwisha kuwashitaki Wayahudi na Wagiriki ya kwamba pia wamekuwa chini ya dhambi

Shirikisha
Waroma 3 SRUV

Waroma 3:9 NEN (Neno)

Tusemeje basi? Je, sisi ni bora kuliko wao? La hasha! Kwa maana tumekwisha kuhakikisha kwa vyovyote kwamba Wayahudi na watu wa Mataifa wote wako chini ya nguvu ya dhambi.

Shirikisha
Waroma 3 NEN