Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 3:8 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 3:8 BHN (Biblia Habari Njema)

Ni sawa na kusema: Tufanye maovu ili tupate mema! Ndivyo wengine walivyotukashifu kwa kutushtaki kwamba tumefundisha hivyo. Watahukumiwa wanavyostahili!

Shirikisha
Waroma 3 BHN

Waroma 3:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa nini tusiseme (kama tulivyosingiziwa, na kama wengine wanavyokaza kusema ya kwamba twasema hivyo), Na tufanye mabaya, ili yaje mema? Ambao kuhukumiwa kwao kuna haki.

Shirikisha
Waroma 3 SUV

Waroma 3:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa nini tusiseme (kama tulivyosingiziwa, na kama wengine wanavyokaza kusema ya kwamba twasema hivyo), Na tufanye mabaya, ili yaje mema? Ambao kuhukumiwa kwao kuna haki.

Shirikisha
Waroma 3 SRUV

Waroma 3:8 NEN (Neno)

Nasi kwa nini tusiseme, kama wengine wanavyotusingizia kuwa tunasema, “Tutende maovu ili mema yapate kuja”? Wao wanastahili hukumu yao.

Shirikisha
Waroma 3 NEN