Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Waroma 3:1 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 3:1 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, Myahudi ana nini zaidi kuliko watu wengine? Au kutahiriwa kuna faida gani?

Shirikisha
Waroma 3 BHN

Waroma 3:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi Myahudi ana ziada gani? Na kutahiriwa kwafaa nini?

Shirikisha
Waroma 3 SUV

Waroma 3:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi Myahudi ana nini zaidi? Na kutahiriwa kwafaa nini?

Shirikisha
Waroma 3 SRUV

Waroma 3:1 NEN (Neno)

Basi kuna faida gani kuwa Myahudi? Au kuna thamani gani katika tohara?

Shirikisha
Waroma 3 NEN