Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Waroma 2:28 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 2:28 BHN (Biblia Habari Njema)

Ndiyo kusema, si kila anayeonekana kwa nje kuwa Myahudi ni Myahudi wa kweli, wala mtu hawi Myahudi wa kweli ati kwa kuwa ametahiriwa kimwili.

Shirikisha
Waroma 2 BHN

Waroma 2:28 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Maana yeye si Myahudi aliye Myahudi kwa nje tu, wala tohara siyo ile ya nje tu katika mwili

Shirikisha
Waroma 2 SUV

Waroma 2:28 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Maana yeye si Myahudi aliye Myahudi kwa nje tu, wala tohara siyo ile ya nje tu katika mwili

Shirikisha
Waroma 2 SRUV

Waroma 2:28 NEN (Neno)

Kwa maana mtu si Myahudi kwa vile alivyo kwa nje, wala tohara ya kweli si kitu cha nje au cha kimwili.

Shirikisha
Waroma 2 NEN