Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 2:20 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 2:20 BHN (Biblia Habari Njema)

unajiona kuwa mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa wale wasiokomaa bado. Unayo katika sheria picha kamili ya elimu na ukweli.

Shirikisha
Waroma 2 BHN

Waroma 2:20 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

mkufunzi wa wajinga, mwalimu wa watoto wachanga, mwenye namna ya maarifa na ya kweli katika torati

Shirikisha
Waroma 2 SUV

Waroma 2:20 SRUV (Swahili Revised Union Version)

mkufunzi wa wajinga, mwalimu wa watoto wachanga, mwenye namna ya maarifa na ya kweli katika torati

Shirikisha
Waroma 2 SRUV

Waroma 2:20 NEN (Neno)

mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa watoto wachanga, kwa kuwa una maarifa ya kweli katika hiyo sheria

Shirikisha
Waroma 2 NEN