Waroma 2:12 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 2:12 BHN (Biblia Habari Njema)
Wale wanaotenda dhambi bila kuijua sheria wataangamia ingawaje hawaijui sheria. Na wale wanaotenda dhambi wakiwa wanaijua sheria watahukumiwa kisheria.
Shirikisha
Waroma 2 BHNWaroma 2:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa wote waliokosa pasipo sheria watapotea pasipo sheria, na wote waliokosa, wenye sheria, watahukumiwa kwa sheria.
Shirikisha
Waroma 2 SUVWaroma 2:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa wote waliokosa pasipo sheria watapotea pasipo sheria, na wote waliokosa, wenye sheria, watahukumiwa kwa sheria.
Shirikisha
Waroma 2 SRUVWaroma 2:12 NEN (Neno)
Watu wote waliotenda dhambi pasipo sheria wataangamia pasipo sheria, nao wote waliotenda dhambi chini ya sheria watahukumiwa kwa sheria.
Shirikisha
Waroma 2 NEN