Waroma 15:26 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 15:26 BHN (Biblia Habari Njema)
Maana makanisa ya Makedonia na Akaya yemeamua kutoa mchango wao kuwasaidia watu wa Mungu walio maskini huko Yerusalemu.
Waroma 15:26 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
maana imewapendeza watu wa Makedonia na Akaya kufanya changizo kwa ajili ya watakatifu huko Yerusalemu walio maskini.
Waroma 15:26 SRUV (Swahili Revised Union Version)
maana imewapendeza watu wa Makedonia na Akaya kutoa mchango kwa ajili ya watakatifu walio maskini huko Yerusalemu.
Waroma 15:26 NEN (Neno)
Kwa kuwa imewapendeza watu wa Makedonia na Akaya kufanya changizo kwa ajili ya maskini walio miongoni mwa watakatifu huko Yerusalemu.