Rukia hadi maudhui

Waroma 15:22 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 15:22 BHN (Biblia Habari Njema)

Kwa sababu hiyo nilizuiwa mara nyingi kuja kwenu.

Waroma 15 BHN

Waroma 15:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ndiyo sababu nalizuiwa mara nyingi nisije kwenu.

Waroma 15 SUV

Waroma 15:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ndiyo sababu nilizuiwa mara nyingi nisije kwenu.

Waroma 15 SRUV

Waroma 15:22 NEN (Neno)

Hii ndiyo sababu nimezuiliwa mara nyingi nisiweze kuja kwenu.

Waroma 15 NEN