Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Waroma 13:3 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 13:3 BHN (Biblia Habari Njema)

Maana, watawala hawasababishi hofu kwa watu wema, ila kwa watu wabaya. Basi, wataka usimwogope mtu mwenye mamlaka? Fanya mema naye atakusifu

Shirikisha
Waroma 13 BHN

Waroma 13:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake

Shirikisha
Waroma 13 SUV

Waroma 13:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake

Shirikisha
Waroma 13 SRUV

Waroma 13:3 NEN (Neno)

Kwa kuwa watawala hawawatishi watu wale wanaotenda mema bali wale wanaotenda mabaya. Je, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Basi tenda lile lililo jema naye atakusifu.

Shirikisha
Waroma 13 NEN