Waroma 10:6 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 10:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini kuhusu kuwa mwadilifu kwa njia ya imani, yasemwa hivi: “Usiseme moyoni mwako: ‘Nani atapanda mpaka mbinguni?’ (yaani, kumleta Kristo chini)
Shirikisha
Waroma 10 BHNWaroma 10:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali ile haki ipatikanayo kwa imani yanena hivi, Usiseme moyoni mwako, Ni nani atakayepanda kwenda mbinguni? (Yaani, ni kumleta Kristo chini)
Shirikisha
Waroma 10 SUVWaroma 10:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Bali ile haki ipatikanayo kwa imani yanena hivi, Usiseme moyoni mwako, Ni nani atakayepanda kwenda mbinguni? (Yaani, kumleta Kristo chini)
Shirikisha
Waroma 10 SRUVWaroma 10:6 NEN (Neno)
Lakini ile haki itokanayo na imani husema hivi: “Usiseme moyoni mwako, ‘Ni nani atakayepanda mbinguni?’” (yaani ili kumleta Kristo chini)
Shirikisha
Waroma 10 NEN