Waroma 10:2 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 10:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Maana naweza kuthibitisha kwa niaba yao kwamba wanayo bidii ya kumtafuta Mungu; lakini bidii hiyo haikujengwa juu ya ujuzi wa kweli.
Shirikisha
Waroma 10 BHNWaroma 10:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana nawashuhudia kwamba wana juhudi kwa ajili ya Mungu, lakini si katika maarifa.
Shirikisha
Waroma 10 SUVWaroma 10:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana nawashuhudia kwamba wana juhudi kwa ajili ya Mungu, lakini si katika maarifa.
Shirikisha
Waroma 10 SRUVWaroma 10:2 NEN (Neno)
Kwa maana ninaweza nikashuhudia wazi kwamba wao wana juhudi kubwa kwa ajili ya Mungu, lakini juhudi yao haina maarifa.
Shirikisha
Waroma 10 NEN