Rukia hadi maudhui

Waroma 10:16 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 10:16 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini wote hawakuipokea hiyo habari njema. Maana Isaya alisema: “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?”

Waroma 10 BHN

Waroma 10:16 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Lakini si wote walioitii ile habari njema. Kwa maana Isaya asema, Bwana, ni nani aliyeziamini habari zetu?

Waroma 10 SUV

Waroma 10:16 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Lakini si wote walioitii ile Habari Njema. Kwa maana Isaya asema, Bwana, ni nani aliyeziamini habari zetu?

Waroma 10 SRUV

Waroma 10:16 NEN (Neno)

Lakini si wote waliotii Habari Njema. Kwa maana Isaya asema, “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?”

Waroma 10 NEN