Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Waroma 1:9 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 1:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Mungu, ambaye ninamtumikia kwa moyo wangu wote katika kuhubiri Habari Njema ya Mwanae, ni shahidi wangu kwamba ninawakumbukeni

Shirikisha
Waroma 1 BHN

Waroma 1:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa maana Mungu, nimwabuduye kwa roho yangu katika Injili ya Mwana wake, ni shahidi wangu jinsi niwatajavyo pasipo kukoma

Shirikisha
Waroma 1 SUV

Waroma 1:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa maana Mungu, nimwabuduye kwa roho yangu katika Injili ya Mwana wake, ni shahidi wangu jinsi niwatajavyo pasipo kukoma

Shirikisha
Waroma 1 SRUV

Waroma 1:9 NEN (Neno)

Kwa maana Mungu ninayemtumikia kwa moyo wangu wote katika kuhubiri Injili ya Mwanawe, ni shahidi wangu jinsi ninavyowakumbuka daima

Shirikisha
Waroma 1 NEN