Waroma 1:8 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 1:8 BHN (Biblia Habari Njema)
Awali ya yote, namshukuru Mungu wangu kwa njia ya Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa sababu imani yenu inasikika duniani kote.
Shirikisha
Waroma 1 BHNWaroma 1:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwanza namshukuru Mungu wangu katika Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa kuwa imani yenu inahubiriwa katika dunia nzima.
Shirikisha
Waroma 1 SUVWaroma 1:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwanza namshukuru Mungu wangu katika Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa kuwa imani yenu inahubiriwa kote duniani.
Shirikisha
Waroma 1 SRUVWaroma 1:8 NEN (Neno)
Kwanza kabisa, namshukuru Mungu wangu kupitia kwa Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa sababu imani yenu inatangazwa duniani kote.
Shirikisha
Waroma 1 NEN