Waroma 1:4 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 1:4 BHN (Biblia Habari Njema)
kuhusu utakatifu wake wa kimungu, alithibitishwa kwa uwezo mkuu kwamba ni Mwana wa Mungu kwa kufufuliwa kutoka kwa wafu.
Shirikisha
Waroma 1 BHNWaroma 1:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kudhihirishwa kwa uweza kuwa Mwana wa Mungu, kwa jinsi ya roho ya utakatifu, kwa ufufuo wa wafu, Yesu Kristo Bwana wetu
Shirikisha
Waroma 1 SUVWaroma 1:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
na kudhihirishwa kwa uweza kuwa Mwana wa Mungu, kwa jinsi ya roho ya utakatifu, kwa ufufuo wa wafu, Yesu Kristo Bwana wetu
Shirikisha
Waroma 1 SRUVWaroma 1:4 NEN (Neno)
na ambaye kwa uwezo wa Roho wa utakatifu alidhihirishwa kuwa Mwana wa Mungu kwa ufufuo wake kutoka kwa wafu, yaani Yesu Kristo, Bwana wetu.
Shirikisha
Waroma 1 NEN