Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Waroma 1:26 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 1:26 BHN (Biblia Habari Njema)

Kwa hiyo, Mungu amewaacha wafuate tamaa mbaya. Hata wanawake wanabadili matumizi yanayopatana na maumbile.

Shirikisha
Waroma 1 BHN

Waroma 1:26 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili

Shirikisha
Waroma 1 SUV

Waroma 1:26 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili

Shirikisha
Waroma 1 SRUV

Waroma 1:26 NEN (Neno)

Kwa sababu hii, Mungu aliwaacha wazifuate tamaa za aibu. Hata wanawake wao wakabadili mahusiano ya kimwili ya asili kwa mahusiano yasiyokusudiwa.

Shirikisha
Waroma 1 NEN