Waroma 1:14 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 1:14 BHN (Biblia Habari Njema)
Ninalo jukumu kwa watu wote, waliostaarabika na wasiostaarabika, wenye elimu na wasio na elimu.
Waroma 1:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawiwa na Wayunani na wasio Wayunani, nawiwa na wenye hekima na wasio na hekima.
Waroma 1:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Nawiwa na Wagiriki na wasio Wagiriki, nawiwa na wenye hekima na wasio na hekima.
Waroma 1:14 NEN (Neno)
Mimi ni mdeni kwa Wayunani na kwa wasio Wayunani, kwa wenye hekima na kwa wasio na hekima.