Rukia hadi maudhui

Methali 28:2 - Linganisha Matoleo Yote

Methali 28:2 BHN (Biblia Habari Njema)

Taifa la fujo huzusha viongozi wengi, lakini kwa kiongozi mmoja mwenye akili na maarifa huwa na utengemano

Methali 28 BHN

Methali 28:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa sababu ya maasi ya nchi wakuu wake huwa wengi; Bali kwa wenye ufahamu na maarifa hali ya nchi hudumishwa

Methali 28 SUV

Methali 28:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa sababu ya maasi ya nchi wakuu wake huwa wengi; Bali kwa wenye ufahamu na maarifa hali ya nchi hudumishwa

Methali 28 SRUV

Methali 28:2 NEN (Neno)

Nchi inapokuwa na uasi, inakuwa na viongozi wengi, bali kiongozi mwenye ufahamu na maarifa hudumisha utaratibu.

Methali 28 NEN