Methali 22:8 - Linganisha Matoleo Yote
Methali 22:8 BHN (Biblia Habari Njema)
Apandaye dhuluma atavuna janga; uwezo wake wa kutenda mabaya utavunjwa.
Methali 22:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye apandaye uovu atavuna msiba, Na fimbo ya ghadhabu yake itakoma.
Methali 22:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Yeye apandaye uovu atavuna msiba, Na fimbo ya ghadhabu yake itakoma.
Methali 22:8 NEN (Neno)
Yeye aupandaye uovu huvuna taabu, nayo fimbo ya ghadhabu yake itaangamizwa.