Rukia hadi maudhui

Methali 1:2 - Linganisha Matoleo Yote

Methali 1:2 BHN (Biblia Habari Njema)

Methali hizi zawapatia watu hekima na nidhamu; zawafanya waelewe maneno ya busara

Methali 1 BHN

Methali 1:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu

Methali 1 SUV

Methali 1:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu

Methali 1 SRUV

Methali 1:2 NEN (Neno)

Kwa kupata hekima na nidhamu; kwa kufahamu maneno ya busara

Methali 1 NEN